Mfano mzuri wa jinsi damu inavyoathiri maumbile na afya
yetu ni kama UKIMWI au saratani ya damu (“leukemia”) iliyomuua mwasisi wa
taifa, Mwalimu Nyerere, 1999.
Showing posts with label Ukombozi wa Wanawake. Show all posts
Showing posts with label Ukombozi wa Wanawake. Show all posts
Sunday, 20 December 2015
MGANGA MKUU UINGEREZA AONYA SIHA YA AKINA MAMA INAVYOTUATHIRI SOTE
Monday, 7 May 2012
UKEKETAJI WA WANAWAKE WAPIGIWA MADEBE UZUNGUNI
Majuma mawili yaliyopita gazeti
mashuhuri na aghali kuzidi yote Uingereza- The Sunday Times lilitangaza habari moto zilizopeperushwa duniani
kuhusu akina mama zaidi ya laki moja
Uingereza wanaodhalilishwa na ukeketaji. Gazeti hili lililoanzishwa mwaka 1821,
lilifanya uchunguzi wa kisiri siri kufichua waganga wa Kiafrika wanaotoza
shilingi milioni mbili za hapa kumkeketa mwanamke mmoja. Kwa mujibu wa BBC
wanawake husika wanatoka Yemen, Somalia, Eritrea na Ethiopia.
Subscribe to:
Posts (Atom)
