Sunday, 14 January 2018

WATANZANIA TUWE WABUNIFU WA KADI NA SALAMU MITANDAONI...Sikukuu kubwa mbili zimepita : Krismasi na Mwaka Mpya.
 Nyakati hizi , hushuhudia salaam kem kem mitandaoni, kupitia simu.  Ila, al kheri  zinavyotumwa ni tofauti sana kati yetu Waafrika na wenzetu Weupe.