Showing posts with label Ujamaa na Kujitegemea. Show all posts
Showing posts with label Ujamaa na Kujitegemea. Show all posts

Sunday, 14 January 2018

WATANZANIA TUWE WABUNIFU WA KADI NA SALAMU MITANDAONI...



Sikukuu kubwa mbili zimepita : Krismasi na Mwaka Mpya.
 Nyakati hizi , hushuhudia salaam kem kem mitandaoni, kupitia simu.  Ila, al kheri  zinavyotumwa ni tofauti sana kati yetu Waafrika na wenzetu Weupe.