Mazingira machafu Tanzania- pic by Juma Gurumo, 2016
Waziri wa Nchi katika Ofisi
ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mheshimiwa January Makamba ametangaza
kufutwa kabisa mifuko ya plastiki Tanzania mwakani. Agizo hili linakwenda sambamba na kilio cha dunia nzima
sasa hivi. Si tu Afrika ambapo mwamko wa kuyaweka mazingira katika hali ya
usafi bado kushadidi vyema.
