Showing posts with label January Makamba na Mazingira. Show all posts
Showing posts with label January Makamba na Mazingira. Show all posts

Tuesday, 7 June 2016

SERA KUFUTA PLASTIKI TANZANIA SAMBAMBA NA HARAKATI ZA KIMATAIFA





 Mazingira machafu Tanzania- pic by Juma Gurumo, 2016

Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mheshimiwa January Makamba ametangaza kufutwa kabisa mifuko ya plastiki Tanzania mwakani. Agizo hili  linakwenda sambamba na kilio cha dunia nzima sasa hivi. Si tu Afrika ambapo mwamko wa kuyaweka mazingira katika hali ya usafi bado kushadidi vyema.